Shopping cart

empty-cart

Your Cart is empty

Go To Shop

AGANO JIPYA (Swahili)

Historia na Maana ya Agano Jipya Agano Jipya ni hazina ya kipekee inayohifadhi historia ya matukio muhimu ya kiroho na kihistoria yanayomgusa kila mtu kiimani. Linahusu maisha, kifo, ufufuko, na kupaa kwa Bwana Yesu Kristo—Mwokozi wa maisha. Aidha, Agano Jipya linaeleza mwendelezo wa kazi kubwa ya Yesu kupitia mitume aliowachagua ili kueneza injili. Ni ukamilisho […]

$ 5

CHRISTIANISME (français)

Christianisme: A Religion Rooted in History Christianisme, derived from the Greek word « Χριστός » Khristos, translates the Hebrew « Māšîăḥ » meaning “the Anointed.” At its core, this religion is based on the belief in one God, as revealed to the Israelites in the Old Testament and fully expressed by Jesus Christ, its founder, […]

$ 5

ESCHATOLOGIE (Swahili)

Thamani ya Mafundisho ya Siku za Mwisho Mpendwa msomaji, ninakukaribisha uanze safari ya kujifunza kupitia mfululizo huu wa masomo maalum ambayo yanahusu matukio ya siku za mwisho. Katika nyakati hizi, Watakatifu wengi wameanza kujisahau na kushindwa kupambanua majira na nyakati tulizo nazo. Ni muhimu kutambua kwamba, tuko mwishomwisho sana, na muda wowote kuanzia sasa, Yesu […]

$ 5

ETHIQUE CHRETIEN (Swahili)

Maadili katika Dunia Inayobadilika Dunia nzima inakumbana na changamoto kubwa kuhusu maadili. Katika nyakati za sasa, mataifa na jamii zinakabiliwa na majaribu mapya ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapo awali. Ingawa Neno la Mungu linasema, ‘Mambo yote yanayotokea yalisha wahi kutokea,’ ni wazi kwamba viwango vya changamoto hizi vimekuwa vikubwa mno. Hali hii imeleta mkanganyiko hasa kwa […]

$ 5

GÉOGRAPHIE BIBLIQUE (swahili)

Discover the Rich History Behind Biblical Regions At a time when only a limited number of countries were well-known, biblical geography reveals the vast regions referenced in scripture. These regions, brought to life by advancements in travel, communication, and modern tools for geographical analysis, are a testament to the enduring truth of God’s word. By […]

$ 5

PASAKA (Swahili)

Maandalizi ya Pasaka: Kutubu na Kusafisha Katika kuelekea kwenye kusherehekea Pasaka, tunakumbushwa andiko muhimu kutoka 1 Wakorintho 5:7-8: “Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo; basi na tuifanye karamu, si kwa chachu ya kale, wala kwa […]

$ 5